Kijana mmoja ambae alikuwa kiongozi wa Wahuni nchini ujerumani alifanyiwa operation mara 25 usoni kwake ili kufuta tattoo zilizopo usoni mwake
Kijana mmoja ambae alikuwa kiongozi wa Wahuni nchini ujerumani alifanyiwa operation mara 25 usoni kwake ili kufuta tattoo zilizopo usoni mwake.
The former skinhead who underwent 25 surgeries to remove his face tattoosKijana huyo alitumia kiasi cha $ 32,400 (£20,233)Kusafisha sua yake.
Akiongea Bryon Widner alisema "kuwa alipitia maumivu makali sana ili kusafisha sura yake na kuzitoa tattoo hizo. Brydon alitumia miezi 16 na operation zaidi ya 25 ili kuweka sawa sura yake. Na sasa Brydon amesafishika sura na kukaa sawa bila kovu lolote usoni
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
The former skinhead who underwent 25 surgeries to remove his face tattoosKijana huyo alitumia kiasi cha $ 32,400 (£20,233)Kusafisha sua yake.
Akiongea Bryon Widner alisema "kuwa alipitia maumivu makali sana ili kusafisha sura yake na kuzitoa tattoo hizo. Brydon alitumia miezi 16 na operation zaidi ya 25 ili kuweka sawa sura yake. Na sasa Brydon amesafishika sura na kukaa sawa bila kovu lolote usoni
0 comments:
Post a Comment