June 13 2016 aliyekuwa waziri wa Kilimo na mifugo Mwigulu Lameck Nchembaaliapishwa rasmi Ikulu Dar es Salaam kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwiguluameapishwa kurithi nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Charles Kitwanga ambaye RaisMagufuli alifuta uteuzi wake May 2016 kwa kosa la kuingia na kujibu maswali ya wizara hiyo ikiaminika kuwa kalewa.
Mwigulu Nchemba alivyowasili kumrithi Charles Kitwanga
June 13 2016 aliyekuwa waziri wa Kilimo na mifugo Mwigulu Lameck Nchembaaliapishwa rasmi Ikulu Dar es Salaam kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwiguluameapishwa kurithi nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Charles Kitwanga ambaye RaisMagufuli alifuta uteuzi wake May 2016 kwa kosa la kuingia na kujibu
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment