Mahakama kuu mjini Murang’a imemuhukumu mwalimu mmoja wa shule ya msingi kifungo cha miaka tisini gerezani kwa kuwalawiti wanafunzi tisa.
Mahakama hiyo ilimpata na hatia mshukiwa John Gichia Mugi na kosa hilo la kuwalawiti wanafunzi hawa wa shule ya msingi ya Muthiria kati ya mwezi wa Januari na Mei mwaka uliopita, na kuamua kuwa mshukiwa huyo atatumikia kifungo cha miaka kumi kwa kila mwanafunzi moja aliyemdhulumu.
K24
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment