www.kenethngamoga.blogspot.com

Diamond Platnumz asaidia wanafunzi 1800

Msanii Diamond Platnumz na uongozi wake siku ya Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live alitoa ahadi kuwa Jumatatu watapeleka zawadia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa ajili ya watanzania.
Msanii Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Na leo hii msanii huyo ametimiza ahadi hiyo kwa kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa madawati 600 ya wanafunzi ambayo yatasaidia takribani ya wanafunzi 1800 katika jiji la Dar es Salaam ambao walikuwa wanakaa chini.
"Mapema leo na familia nzima ya WCB wasafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda tulivyoenda kumkabidhi Madawati 600 kwajili ya Wanafunzi wa shule za Dar es Salaam. Madawati hayo ambayo yataweza kusaidia Wanafunzi elfu moja na mia nane kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kukaa kwenye dawati na kupata elimu Vyema" alisema Diamond Platnum
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment