Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo May 04 2016 imetoa kauli ya kuufung
ia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka Snura atakapoifan
yia marekebisho video ya wimbo huo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao ya kijamii
yote.
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo May 04 2016 imetoa kauli ya kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka Snura atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao ya kijamii yote.
Serikali imeeleza sababu ya kuufungia imetokana na maudhui ya utengenezaji wa video hiyo, pia serikali imesitisha maonyesho yote ya hadhara ya Snura mpaka atakapokamilisha taratibu za usajili wa kazi zake za sanaa katika baraza la sanaa la taif
a
a
0 comments:
Post a Comment