Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz na wasanii wa Afrika
Kusini, Mafilizolo, wametua bungeni Dodoma Alhamisi hii kusikiliza randama ya
makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Kutoka kulia, msanii wa kundi la Mafikizolo, Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye, Diamond Platnumz, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba, wakiwa nje ya bunge.
Kupitia ukurasa wa
instagram wa Diamond, alipost picha na kuandika:
Dakika chache zilizopita nikiwa na Mafikizolo tukiwa
na Mh Waziri @JMakamba2015 na #NapeNauye Bungeni
Dodoma….. #ColorsOfAfrica Cc
@theoMafikizolo @nhlanhla_nciza ….Suit by my Favorite suit Designer @Speshoz
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment