Shirika
la umeme Tanzania -Tanesco limesema hali ni mbaya ya upatikanaji wa
umeme nchini kutokana na chanzo kikuu ambacho ni maji kuzalisha nishati
hiyo asilimia 18 tu ya uwezo wake na kwamba hali hiyo imewafanya washindwe kuita kukosekana huko umeme nchini kama ni mgawo au dharura
Ungana na mimi kupitia
Facebook ,
Twitter na
Instagram Pia subscribe
Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
0 comments:
Post a Comment