www.kenethngamoga.blogspot.com

Balozi Athuman Mwapachu amehama Chama cha CCM?? Kilichonifikia ni hiki.


Kuna stori ambayo imesambaa tayari kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja ya Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama CCM… Kuna ukweli wowote?
Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha Balozi Juma Mwapachukutangaza kujitoa CCM >>> “MWAPACHU ATOKA CCM: Kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, adai chama kimepoteza dira, hajaamua kujiunga chama kingine“>>> Hiyo ni nukuu ya stori iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi.
unnamed
Kwenye ukurasa wa Twitter wa Kituo cha Television cha ITV nako imeripotiwa taarifa hiyo >>> “ Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kuanzia kesho hatokuwa mwanachama wa CCM na atarejesha kadi ofisi ya CCM kata ya Mikocheni DSM” >>>
Mwapachuree
Hizi hapa ni post ambazo zimesambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu stori hiyo.
unnamed II

Mwapa
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment