www.kenethngamoga.blogspot.com

Ujumbe wa Ronaldinho kwa Cristiano Ronaldo baada ya ushindi wa Ballon d’Or

Jumatatu ya December 12 2016 ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo, staa huyo wa Ureno December 12 ndio siku rasmi aliyotangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016.
Baada ya ushindi huo wa tuzo ya nne ya Ballon d’Or, staa wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho ambaye amewahi kushinda tuzo hiyo mwaka 2005, ametumia ukurasa wake wa instagram kumpongeza Ronaldo kwa ushindi huo, Ronaldinho ametumia lugha ya kireno.
screen-shot-2016-12-13-at-5-13-58-am
“Hongera rafiki yangu Cristiano kwa ushindi wa tuzo hiyo ulistahili na kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa na mafanikio makubwa, tuzo hiyo ni heshima kwa manufaa yako
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment