www.kenethngamoga.blogspot.com

Walichoandika Diamond na Wema Sepetu kuhusu Ommy Dimpoz

Upo usemi kwamba fahari wawili hawakai zizi moja, ndicho kinaonekana kutokea kati ya mastaa wakubwa wa Bongo Flava nchini, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz ambao waliwahi kuwa marafiki zamani, lakini sasa wamethibitisha wazi kuwa hawako poa kama mwanzo.
Kupitia Interview iliyofanywa ndani ya show ya XXL kupitia Clouds FM jana November 23, 2016, Diamond Platnumz alifungua kifua na kueleza mambo mengi sana juu ya tofauti yake yeye na Ommy Dimpoz ikiwemo lakini hakikuwekwa wazi sana chanzo cha kutofautiana kwao.
“Hivi jamani kweli mimi nigombane na Ommy Dimpoz kwasababu ya Wema Sepetu kweli? Siwezi kufanya hivyo. Mimi nafikiri tusilizungumzie nadhani wenye macho wameshanielewa kama hawajaelewa tangu jana waje kuelewa leo? watakuwa washaelewa. Dozen mimi naamua kumsitiri mwenzangu.” – Diamond
mondi-2 mondi
Leo November 24, 2016 Ommy Dimpoz amepiga story na XXL ya Clouds FM pia, ambapo ameeleza kwa upande wake amepokeaje maelezo ya Diamond pamoja na ufafanuzi kuhusu ukaribu wake na watu ambao Diamond ameshatofautiana nao pamoja na kufanya kazi na Wema Sepetu.
“Mimi kwenda kushoot video ya Wanjera ndio ilikuwa sababu ya kutofautiana na Diamond, unajua mimi na Wema ni washkaji tangu hajaanza kuwa mpenzi wa Diamond, mimi nilimuweka Wema kwababu ana mashabiki wengi na nilitaka impact ya kazi yangu, mimi pia sijawahi kudate na Wema” – Ommy Dimpoz

wema
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment