November 27 2016 klabu ya Arsenal iliikaribisha klabu ya AFC Bournemouth katika uwanja wake wa Emirates kucheza mchezo wao 13 wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017.
Katika mchezo huo Arsenal wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli yakitiwa wavuni na Alex Sanchez dakika ya 12 na 90 na Theo Walcott dakika ya 53.
Goli pekee la AFC Bournemouth limefungwa na Callum Wilson dakika ya 23, kufuatia ushindi huo Arsenal wanafikisha jumla ya point 28 na wapo nafasi ya nne wakati AFC Bournemouth wanabaki na point 15 na wapo nafasi ya 11
.
0 comments:
Post a Comment