Moja kati ya michezo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu usiku wa November 26 ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham Hotspurs katika uwanja wa Stamford Bridge, huu ni mchezo ambao Spurs walikuwa wanaingia Stamford Bridge wakiwa hawajakubali kufungwa hata mchezo mmoja msimu huu.
VIDEO: Chelsea Yaiadhibu Spurs
Usiku huo wa November 26 Chelsea imevunja rekodi ya Spurs kwa kuifunga goli 2-1, magoli ya Chelsea yakifungwa na Pedro Rodriguez dakika ya 45 na Victor Mosesdakika ya 51, wakati goli pekee ya Totteham lilifungwa mapema kabisa mwanzo mwa mchezo dakika ya 11 na Christian Eriksen.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment