www.kenethngamoga.blogspot.com

Maneno ya Profesa Anna Tibaijuka kwa wanaosema alizikataa mil 200

Siku chache baada ya Waziri wa zamani wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka kushinda tuzo ya kimataifa ya “His Royal Highness Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa Award for Sustainable Development” nchini Marekani na kuzikataa fedha zaidi ya milion 200 alizotakiwa kupewa kwa hofu ya kuhusishwa na zile tuhuma za Escrow

Kilichotokea kwenye hii tuzo wanayosema nimekataa haina tofauti na pesa za Rugemalila, sikukataa fedha hizo zaidi ya mil 200 bali sikuweza kuzichukua kwasababu ya kisheria kwakuwa yangenikuta yaleyale ya Escrow‘ –Prof Anna Tibaijuka
Mimi mwenyewe nimeziacha fedha hizo kwa masikitiko makubwa kwakuwa sheria imenifunga, Sheria ya maadili ya nchi inasema kiongozi haruhusiwi kuchukua zaidi ya elfu hamsini sasa ningezichukua kwangu ingekuwa kizungumkuti‘ –Prof Anna Tibaijuka
Kwahiyo mimi nikawaambia kule kwetu sheria ni ngumu kwahiyo nikawaambia hizi fedha naziacha mezani kisha tukajipange na pia kama mnaweza itabidi hizi fedha ziende zikawasaidie wananchi wa Tanzania kwenye matatizo yao‘ –Prof Anna Tibaijuk
a
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment