www.kenethngamoga.blogspot.com

Julio alivyotangaza kuachana na soka kisa waamuzi

Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kiwelu Julio jioni ya October 2 2016 alitangaza maamuzi ya kuwashtusha walio wengi, hiyo ni baada ya mchezo wake wa ugenini kati ya Mwadui FC dhidi ya Mbeya City kumalizika kwa kupoteza kwa goli 1-0.

Julio baada ya mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Sokoine Mbeya alitangaza kuachana na soka la Tanzania, hiyo inatokana na kutoendelea kuridhishwa na uwezo wa waamuzi wa soka wa Tanzania, kwani katika mchezo dhidi ya Mbeya City amekiri kuwa walifungwa kihalali lakini muamuzi alionesha kuwawekea vikwazo wasisawazishe.
“Mchezaji wetu anapambana hadi anapata mpira kwenda kufunga refa badala yake anatoa faulo kwao kwenye timu ya adui kusema kweli kimeniuma sana, kwa hiyo nitangaze rasmi kuanzia sasa hivi na kuendelea mimi sitaki kuwa kocha wa mpira wa miguu katika soka la Tanzania tena
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment