Kwa majirani zetu Nchini Kenya katika eneo la Nakuru kumetokea Hekaheka yamasikitiko baada ya Baba mmoja mwenye umri wa miaka 35  kumuua mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka 6.Baba huyo alimuua mtoto baada ya kukataliwa na mkewe kunywa maziwa ya watoto.
Mbali na mtoto huyo aliyemuua ,vilevile alimjeruhi mtoto wake mdogo wa kumzaa ambaye kwa sasa yupo hospitali kwa ajli ya matibabu.
Polisi nchini Kenya wanamshikilia jamaa huyo na anashtakiwa kwa makosa mawili la kuua na kumjeruhi mtoto
Angalia Video