Mtu wangu huwenda haijawahi kukufikia juu ya maajabu haya, katika pitapita zangu nikakutana na hili ambalo leo July 28 2016 nakusogezea kama throwback mtu wangu, binti Lina Medina ni raia wa nchini Peru aliyetajwa kuwa binti alieshika ujauzito katika umri mdogo kuliko wote duniani akiwa na umri wa miaka 5.
Wazazi wa binti huyu walijua binti yao ana matatizo mengine ya kiafya, katika kufanyiwa utafiti alikutwa ana ujauzito wenye zaidi ya miezi saba na haikuwa kujulikana baba wa ujauzito huo.
Binti Lina aliishi mpaka miaka 40 alifariki dunia na kuacha mtoto wake wa kiume akiwa na miaka na miaka 35.
0 comments:
Post a Comment