www.kenethngamoga.blogspot.com

VIDEO:Ufaransa wameamza kwa ushindi Euro 2016 katika ardhi yao

Mtu wangu wa nguvu najua ulikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanasubiria michuano ya Euro 2016 kufanyika, hiyo inatokana na mvuto wa mashindano hayo kukusanya nyota mbalimbali kupitia timu zao za taifa.
Mtu wangu wa nguvu najua ulikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa wanasubiria michuano ya Euro 2016 kufanyika, hiyo inatokana na mvuto wa mashindano hayo kukusanya nyota mbalimbali kupitia timu zao za taifa.
Usiku wa June 10 2016 timu ya taifa ya Ufaransa ambao ndio wenyeji wa michuano ya Euro 2016, walianza kucheza mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo dhidi ya timu ya taifa ya Romania, Ufaransa wakiwa kwao walionekana kucheza kwa kujiamini na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, huku hali ya umiliki wa mchezo wakiwa wamemiliki mpira kwa asilimia 51 na Romania 41.
2715
Magoli ya Ufaransa yalifungwa na Oliver Giroud dakika ya 57, goli ambalo lilidumu kwa dakika 8 tu na dakika ya 65 Romania wakasawazisha kwa mkwaju wa penati iliyopatikana baada ya Patrice Evra kucheza faulo ndani ya 18 na Bogdan Stancu kuitumia nafasi hiyo, furaha ya Ufaransa ilirejeshwa na shuti la Dimitri Payet dakika ya 89 baada ya kuingia wavuni.
Video ya magori kati ya France 2 vs Romania 1
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment