www.kenethngamoga.blogspot.com

msimamo wa ligi ya EPL

ligi kuu nchini uingereza inaeelekea mwishoni wakati ambapo bingwa wa msimu wa mwaka 2015 _2016 akiwa amepatikana usiku wa jana baada ya Totenharm kupata sare ya magori mawili kwa mawili na the blues
Na kwa matokeo hayo timu nyingi zimebakisha michezo mitatu na zingine zikiwa na michezo miwili na leicester city akiwa bingwa akifuatiwa na  man city huku asernali akiwa katika nafasi ya tatu na bado baadhi ya timu zinaendeleza mapambano ya kuwania nafasi ya nne
Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 3 Mei, 2016.
NambariKlabuMechiMabaoAlama
1Leicester363077
2Tottenham363970
3Arsenal362567
4Man City363064
5Man Utd351260
6West Ham351759
7Southampton361457
8Liverpool351155
9Chelsea35748
10Stoke36-1448
11Everton35644
12Watford35-644
13Swansea36-1343
14West Brom36-1441
15Bournemouth36-2041
16Crystal Palace36-1039
17Newcastle36-2533
18Sunderland35-1832
19Norwich35-2631
20Aston Villa36-4516

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment