www.kenethngamoga.blogspot.com

Je wajuwa 15% ya wanawake nchini wamekeketwa -Kigwangalla

Dkt. Kigwangalla ametoa takwimu hizo alipokuwa akifunga kongamano la siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji na wanawake kwa ujumla.
Dkt. Kigwangalla ametoa takwimu hizo alipokuwa akifunga kongamano la siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji na wanawake kwa ujumla.
Ameitaja mikoa ya Manyara, Singida, Mara, Arusha na Dodoma kuwa ndiyo inayoongoza kutokana na imani potofu zilizoenea juu ya wanawake katika maeneo hayo.
Kwa mujibu wa utafiti wa kidemografia na afya Tanzania 2010 unaonyesha kuwa asilimia 15 ya wanawake nchini wamekeketwa huku mkoa wa Manyara ukushika namba moja kwa asilimia 71%
Aidha Dkt. Kigwangala ametoa wito kwa jamii kuepuka vitendo hivyo kwani humharibu mwanamke kisaikolojia, kiafya,kielimu na kimaendeleo
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment