www.kenethngamoga.blogspot.com

Ujumbe wa Ruby kwa Alikiba baada ya kusikia Alikiba ana Mbwa anaitwa Ruby

on
Mrembo wa kwanza kushinda shindano la Serengeti Super Nyota Diva Ruby January 30 ameingia kwenye headlines baada ya kutopendezwa kwa kauli ya staa wa Bongo FlevaAlikiba, kauli ambayo anaamini kama dharau au kejeli kwake. Ruby anadai kumsikiaAlikiba akisema katika kipindi cha The Sporah Show kuwa ana Mbwa anaitwa Ruby kitu ambacho hakuwahi kumwambia, Ruby anaamini kuwa kafananishwa na Mbwa. Huu ndio ujumbe alioamua Ruby kumuandikia Alikiba kupitia account yake ya instagram.
mru
1m4
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment