www.kenethngamoga.blogspot.com

LIverpool Yamtupia Virago Brendan Rodgers Out

Brendan-RodgersKlabu ya Uingereza ya Liverpool (Majogoo) wamethibitisha kumtema Meneja wao, Brendan Rodgers.
Imesemekana Meneja huyo alipewa taarifa za kutemwa kwake mara baada ya mechi ya leo ambapo timu yake kutoa sare ya 1 – 1 na Everton katika Ligi Kuu ya Uingereza.
Sare ya 1 – 1 ya Jumapili na Everton ilikuwa ya tano katika mechi sita ambazo majogoo hao wamecheza, huko wakiwa wameshinda mechi yao moja tu.
Mnyetishaji amedokeza kuwa taarifa hiyo imefikishwa kwa Meneja huyo na Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Ian Ayre wawili hao walipokutana na pia kusistizwa kwa njia ya simu na Mkurugenzi wa Klabu jiyo Michael Gordon.
Rodgers was appointed as Liverpool boss on June 1st, 2012, succeeding Kenny Dalglish. He led the club to a seventh placed finish in his first season, one better than the previous season, before leading an unexpected second place finish the following season, earning a return to the Champions League for the first time in five years.
Rodgers aliteuliwa kuinoa Liverpool mnamo tarehe 1 Juni 2012 akimrithi  Kenny Dalglish. Katika msimu wake wa kwanza (2012 – 2013) na klabu hiyo ilishia nafasi ya ikiwa ninafasi moja zaidi ya msimu ulikuwa umepita.Msimu uliofuata (2013 – 2014) aliwashangaza wengi kwa kushika nafasi ya pili akiukosa ubingwa dakika za mwisho tena kwa alama 2 tu nyuma ya Manchester City. Kwa mafanikio hayo Rodgers aliiwezesha Liverpool kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 7
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment