www.kenethngamoga.blogspot.com

Waziri Mwakyembe mbele ya Makamu wa Rais kuhusu Serengeti Boys kunyang’anywa basi

April 4 2017 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan aliwaalika nyumbani kwake timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na kupata nao chakula cha jioni kabla ya vijana hao kuondoka Tanzania.

Mualiko wa Mama Samia Suluhu ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo waziri mwenye dhamana ya michezo Dr Harrison Mwakyembe aliyepewewa fursa pia kuongea na vijana wa Serengeti Boys na kumkaribisha Makamu wa Rais.
Kabla ya hapo waziri Mwakyembe
alieleza pia kusikitishwa kwake na TRA kuinyang’anya Serengeti Boys basi muda mchache baada ya kutoka hotelini na kuanza safari ya kuelekea nyumbani kwa makamu wa Rais walipokuwa wamepewa mualiko maalum.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment