www.kenethngamoga.blogspot.com

Tuzo nyingine kubwa ambayo Alikiba amechaguliwa kuwania

Majina ya washiriki katika  tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania  yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika
Majina ya washiriki katika  tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania  yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika.
Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards  ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya ,kama ilivyo MTVMAMA kwa Africa.  Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikibaameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura.

kiba
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment