Diwani wa kata ya Kibaoni Iliyopo katika mji wa Ifakara GoodLuck Msowoya amewakata wananchi wa kata hiyo kujitokeza kwa wingi katika mkutano utakaofanyika siku ya jumatano ya Tarehe 28 mwezi wa tisa wenye lengo la kujadiliana na kupata ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinazoikabili kata hiyo ikiwemo kero ya barabara inayoanzia katika keepleft ya Kibaoni kuelekea Tazara
Goodluck Msowoya
Bonyeza Play kusikiliza mahojiano akiwa katika kipindi cha SayariBit 89.5 Pambazuko fm Ifakara
Ungana na mimi kupitia
Facebook ,
Twitter na
Instagram Pia subscribe
Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
0 comments:
Post a Comment