www.kenethngamoga.blogspot.com

PICHA: Private jet ya bilioni 42 ya Cristiano Ronaldo imepata ajali

Jina la staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amerudi kwenye headlines baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kupata ajali kwa ndege yake binafsi

Jina la staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amerudi kwenye headlines baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kupata ajali kwa ndege yake binafsi.
Mtandao wa dailymail.co.uk umeripoti ndege binafsi ya Cristiano Ronaldo yenye thamani ya pound milioni 15 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 42, ndege binafsi ya Ronaldoimepata ajali wakati staa huyo akiwa amekodisha watu wengine.
38eb535500000578-3813709-nobody_was_hurt_when_the_plane_crash_landed_but_it_suffered_exte-a-53_1475158795385
Gulfstream G200 imepata ajali ikiwa inajaribu kutua katika uwanja wa ndege wa El Pratjiji la Barcelona wakati ambao runway zilikuwa zimefungwa, gear ya kuwezesha ndege hiyo kutua ziligoma kufanya kazi, ajali hiyo imetokea Ronaldo akiwa na timu yakeUjerumani katika mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Borussia Dortmund
.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment