www.kenethngamoga.blogspot.com

PICHA: Vibonzo sita vya utani wa Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya October 1

Jumamosi ya October 1 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika


Jumamosi ya October 1 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika.
katuni-15feb2015
Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu hizo mbili, kupigana vijembe au kutambiana mitandaoni.
kiraka-simba-yanga
katuni-15feb2015
dsc_3752
1425669226286
GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time 3-1 
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment