www.kenethngamoga.blogspot.com

Uchu wa ngono Sweden washuka kisa kikiwa hiki, Je Tanzania nayenyewe inaweza kuwa hivyo baadae!

Taifa la Sweden linazindua utafiti wa miaka mitatu kuhusu maisha ya ngono ya raia wake. Habari zimechapishwa katika jarida moja zikisema kuwa raia wa taifa hilo wanashiriki ngono kwa kiasi kidogo.
Taifa la Sweden linazindua utafiti wa miaka mitatu kuhusu maisha ya ngono ya raia wake. Habari zimechapishwa katika jarida moja zikisema kuwa raia wa taifa hilo wanashiriki ngono kwa kiasi kidogo.
Waziri wa Afya Gabriel Wilkstrom amesema kuwa iwapo msongo wa mawazo ama maswala mengine ndio tatizo la watu kushiriki ngono kwa kiasi kidogo basi hilo pia ni swala la kisiasa.
Amesema kuwa huku jamii ikihusishwa na ngono katika kila kitu kuanzia matangazo,mitandao ya kijamii na katika maisha ya kila siku,swala hilo linakabiliwa na aibu na kutokuwepo katika mjadala wa kisiasa 

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment