Ethiopia inatarajiwa kutupa mipira ya kondomu milioni 69, iliyonunuliwa kwa kima cha dola milioni mbili kutoka na ubora wa chini wa mipira hiyo
Ethiopia inatarajiwa kutupa mipira ya kondomu milioni 69, iliyonunuliwa kwa kima cha dola milioni mbili kutoka na ubora wa chini wa mipira hiyo.
Hii ilitangazwa na mfuko wa serikali unaohusika na madawa nchini humo.
Hatua sasa zinachukuliwa kuhakisha kuwa fedha zilizotumika na zilizotolewa na shirika moja la kimataifa linalofadhiliwa na Umoja wa Mataifa
zimerejeshwa.
BBC
0 comments:
Post a Comment