www.kenethngamoga.blogspot.com

Burnley Yarejea Ligi kuu Uingereza

Timu ya Soka ya Burnley imefanikiwa kurejea katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuifunga QPR bao 1-0 katika mchezo wa pili uliopigwa leo katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Turf Moor. Goli la Dakika ya 61 lililofungwa na mshambuliaji Sam Vokes lilitosha kuihakikishia timu hiyo kucheza #EPL msimu ujao. Ushindi wa leo unamaanisha Burnley haijafungwa katika michezo yake 22 ya mwisho
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment