Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DK john Magufuli amemfuta kazi mkuu wa Mkoa wa mwanza Anna Kiwango malecela pamoja na kumsimamisha kazi khatibu tawala Mkoa wa mwanza
Kufutwa kazi kwa mkuu huyo wa Mkoa kumekuja kufuatia kutoa taarifa za uwongo kuhusu wafanyakazi hewa
Ikumbukwe mkuu Huyo wa Mkoa ni moja kati ya wakuu wa Mkoa walioteuliwa na Raisi magufuli mapema March 13 mwaka huu na kuapishwa March 15 ambapo Rais alitoa maagizo kwa wakuu wa mikoa wote kuhakikisha wanawasilisha report ya majina ya watumishi hewa
Kufuatia agizo hilo Mkoa wa mwana ndio umeongoza kwa kuwa na watumishi hewa
Ana Malechela amefutwa kazi kutokana na kusema kuwa katika Mkoa wa shinyanga hakuna wafanyakazi hewa
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment