Ni director ambaye alishawahi kufanya kazi na baadhi ya wasanii kutoka Tanzania akiwemo, Vanessa Mdee ‘No Body But Me’, Shaa – Toba, Joh Makini – Don’t Bother, Jux – Looking for you na nyinginezo.
Sasa time hii director huyo mikono yake ameiweka kwa mtanzania mwingine kuandaavideo mpya ya mshindi wa Bongo Star Search 2015 Kayumba Juma.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Bongo Star Search waliwataarifu mashabiki kile kilichoendelea Afrika Kusini na kuandika….’Tumeanza kushoot video ya wimbo mpya ya Kayumba Juma’..>>>@bongostarsearch
0 comments:
Post a Comment