www.kenethngamoga.blogspot.com

Timu iliyomsajili Emmanuel Okwi kwa kipindi cha miezi mitatu

Baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Uganda Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu yake ya Sønderjyske ya Denmark, leo February 1 2017 zimeripotiwa taarifa za timu aliyojiunga nayo.
Baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Uganda Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu yake ya Sønderjyske ya Denmark, leo February 1 2017 zimeripotiwa taarifa za timu aliyojiunga nayo.
Okwi amejiunga na klabu yake ya zamani ya Sports Club Villa ya kwao Uganda kwa ajili ya kumalizia msimu, ina maana atakuwa na timu hiyo katika kipindi cha miezi mitatu.
Maamuzi ya Okwi kujiunga na timu ya Sport Club Villa kwa kipindi cha miezi mitatu yanatafsirika kama kucheza kujiweka fiti kwa ajili ya maandalizi ya kurejea Simba wakati wa usajili, kama utakuwa unakumbuka Okwi alijiunga na Sønderjyske  ya Denmark na aliamua kuvunja mkataba baada ya kuona hana nafasi
.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment