www.kenethngamoga.blogspot.com

Mrembo wa dunia wa Miss Universe ametangazwa… Kenya yavunja rekodi

Shindano la 65 la kumtafuta Miss Universe limemalizika huko Ufilipino ambapo Mshindi ametangazwa kwamba ni Iris Mittenaere wa Ufaransa huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Haiti kupitia kwa Raquel Pelissier na namba 3 akiwa ni Andrea Tovar wa Colombia.

Lilikua ni shindano lenye msisimko hasa ukizingatia Afrika ikiwemo Tanzania ziliwakilishwa na Warembo wa nchi mbalimbali ambapo hamasa zaidi ya kutaka kujua kitachotokea ilipanda zaidi baada ya Miss Kenya Mary Esther Were kutangazwa kuingia kwenye 9 bora akiwa ni Mrembo pekee wa Afrika kuingia Top 9.
Roho za Waafrika hasa Afrika Mashariki zikawekwa juujuu zaidi baada ya Mrembo huyo wa Kenya kutangazwa kuingia kwenye 6 bora ambapo hata hivyo kwenye 3 bora hakufanikiwa, unaweza kutazama kwenye hii video fupi hapa chini akitangazwa kwenye Top 6
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment