www.kenethngamoga.blogspot.com

List ya kwanza ya wanasoka waliotajwa kuwania Tuzo ya Ballon D’Or

Leo Jumatatu October 24, 2016 Mtu wangu nakuletea List ya kwanza yenye majina ya wanasoka mastaa watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Ballon D’Or. Tayari majina ya kwanza ya wanasoka wanaofanya vizuri kwenye game yametajwa huku Cristiano Ronaldo na Garret Bale wakiwemo

 

Leo Jumatatu October 24, 2016 Mtu wangu nakuletea List ya kwanza yenye majina ya wanasoka mastaa watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Ballon D’Or. Tayari majina ya kwanza ya wanasoka wanaofanya vizuri kwenye game yametajwa huku Cristiano Ronaldo na Garret Bale wakiwemo.
Mastaa hao kutoka Club ya Real Madrid wanaungana na wanasoka wengine Sergio Aguero, Pierre-Emerick Aubameyang pamoja na Gianluigi Buffon kwenye list ya wanasoka 30 watakaowania tuzo hii kubwa kutoka FIFA.
Tuzo hii ya Ballon d’Or pamoja na ile ya FIFA World Player of the Year ziliunganishwa mwaka 2010 na ikapatikana tuzo moja ya FIFA Ballon d’Or, lakini muungano wa tuzo hizi unaisha mwaka huu, na kila moja itakua ikitolewa kivyake.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment