www.kenethngamoga.blogspot.com

Watoa pesa benki wakihofia ghasia Gabon

Milolongo mirefu imeshuhudiwa kwenye benki na vituo vya kutoa pesa, kwenye mji mkuu wa Gabon Libreville wakati wanajaribu kutoa pesa, wakihofia kuwa mzozo wa kisiasa uliopo unaweza kuzua ghasia nchini humo.
Milolongo mirefu ilishuhudiwa mwishoni mwa wikiImage copyrightAFP
Image captionMilolongo mirefu ilishuhudiwa mwishoni mwa wiki
Milolongo mirefu imeshuhudiwa kwenye benki na vituo vya kutoa pesa, kwenye mji mkuu wa Gabon Libreville wakati wanajaribu kutoa pesa, wakihofia kuwa mzozo wa kisiasa uliopo unaweza kuzua ghasia nchini humo.
Watu wengine walielezea ghadhabu yao kuwa hawangeweza kutoa pesa zao kwenye benki.
"Benki tena hazitaki kutoa pesa, kwa sababu zinaelewa hali sio nzuri na uchumi uko hatarini," alisema mwalimu mmoja.
Baadhi ya maduka mjini Libreville yanaishiwa na bidhaa huku familia nyingi nazo zikiishiwa bidhaa muhimu.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment