www.kenethngamoga.blogspot.com

PICHAZ 9: Hii ndio couple iliyovunja rekodi duniani kwa ufupi.

Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya kila siku, usisahau kuniachia comment yako hapa kuhusu couple hi
Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya kila siku, usisahau kuniachia comment yako hapa kuhusu couple hii.
Couple hii ni kutoka nchini Brazil ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake Katyucia Hoshino miaka 26 ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja record duniani wakidai kua walikutana kwenye mtandao wa kijamii  miaka kumi iliopita nakuanza mahusiano hayo.
j
l
v
k
i
n
b
u
mk
BBC
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment