
June 13 2016 aliyekuwa waziri wa Kilimo na mifugo Mwigulu Lameck Nchembaaliapishwa rasmi Ikulu Dar es Salaam kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwiguluameapishwa kurithi nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Charles Kitwanga ambaye RaisMagufuli alifuta uteuzi wake May 2016 kwa kosa la kuingia na kujibu maswali ya wizara hiyo ikiaminika kuwa kalewa.

Baada ya kuapishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba akiwasili ofisini kwake

0 comments:
Post a Comment