www.kenethngamoga.blogspot.com

JE WAJUA?

Je vidole vyako viko A, B au C????

Je vidole vyako viko A, B au C????

(A) Kidole cha pete kikiwa kirefu kuzidi cha shahada 

Watu ambao vidole vyao vya pete ni virefu kuzidi kidole shahada huwa wana haiba na baadhi yao sura zao huvutia.

Tena watu wa namna hii huwa hawana aibu na wanaweza kuzungumza kitu chochote bila kuogopa na mara nyingi wanakuwaga wagomvi pia huweza kutatua matatizo kwa haraka.

Hata hivyo watu hawa wengi wao ni wenye huruma, wanasayansi, wahandisi, askari na viongozi.

(B) Kidole cha pete kikiwa kifupi kuliko cha shahada 

Mara nyingi Watu wenye kidole kifupi cha pete kuliko kidole cha shahada ujiamini lakini wanapenda kujitenga na wenzao na wakiamua kufanya kazi ukamilisha kwa haraka lakini kazi zao uwa na walakini.

Pia watu hao malengo yao hutimia kutokana na kwamba hawapendi usumbufu.

(C) Kidole cha pete kikilingana na kidole cha shahada 

Watu ambao vidole vyao vya pete na shahada vinalingana mara nyingi ni watu wa amani,upendo na uepuka sana migogoro pia watu hao ni waaminifu kwenye mahusiano, kazini,wanajali na uwa wanachukua tahadhari mapema.

Hata hiyo watu wa namna hii huchukia sana endapo wanakwazika
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment