Kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia video ya mdundo wake mpya ambayo video queen ni mpenzi wake kutoka kiwanda cha Filamu nchini Jackline Wolper,
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba +255655632798
0 comments:
Post a Comment