www.kenethngamoga.blogspot.com

Timu ya KRC Genk yakina Samatta imepangwa na timu ya Hispania robo fainali Europa League

Baada ya kuchezeshwa kwa droo ya robo fainali ya UEFA Champions League ilifika zamu ya kuchezeshwa kwa droo ya robo fainali ya UEFA Europa League siku hiyo, timu nane zimefanikiwa kufuzu hatua hiyo ikiwemo KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta.

Timu saba nyingine zilizofanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni AnderlechtMan UnitedLyonBeşiktaşAjaxSchalke na Celta Vigo, michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano ni April 20.
Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
Timu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta imepangwa kucheza na timu ya Celta Vigo inayoshika nafasi ya 11 katika msimamo wa Ligi Kuu Hispania LaLiga msimu wa 2016/2017, hiyo itakuwa ni nafasi ya Samatta ambao wataanzia ugenini kuonesha uwezo wake tena
.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment