Ni masaa machache yamepita tangu ilipopandishwa mtandaoni hii collabo ya Diamond Platnumz pamoja na Cassper Nyovest ambayo wameifanya kwenye Coke Studio ZA.
Imempendeza kila mmoja ambaye ni mpenzi wa muziki mzuri, na ndiyo sababu iliyonifanya nisisite kukusogezea na wewe hapa ili uweze kuenjoy nayo.
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba +255655632798
0 comments:
Post a Comment