www.kenethngamoga.blogspot.com

Hawa ni Rappers 10 Bora Tanzania waliotajwa na MTVBase South

Sio rahisi kutaja list ya Vituo 10 bora vya Televisheni kwenye upande wa Entertainment duniani ukaiacha MTV ambayo ina matawi sehemu nyingi duniani ikiwepo Afrika Kusini ambako kuna tawi liitwalo MTVBaseSA.
Sio rahisi kutaja list ya Vituo 10 bora vya Televisheni kwenye upande wa Entertainment duniani ukaiacha MTV ambayo ina matawi sehemu nyingi duniani ikiwepo Afrika Kusini ambako kuna tawi liitwalo MTVBaseSA.
Leo November 22, 2016 kupitia account yake ya Twitter, wameitaja list ya ma-Mc 10 bora wa HipHop Tanzania kwa mwaka 2016, na list hii kwa mujibu wa MTVBaseSA imepangwa kwa kutumia vigezo sita muhimu ambavyo ni..
  1. Mapokeo na Matokeo ya nyimbo zao
  2. Mtindo wa kuflow
  3. Uandishi wa Mistari
  4. Mauzo kwenye Muziki na Shows
  5. Kujiamini
  6. Kutobabaika wakati wa kuchana
Kwa mujibu wa List hiyo, Rapa Fareed Kubanda a.k.a FID Q amekamata namba 1 akifuatiwa na Joh Makini, A.Y, MwanaFA, Roma na wengineo. List kamili ya TZHottestMC2016 nimekuwekea hapa.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment