www.kenethngamoga.blogspot.com

New Music:Simpho Star_ Nitulie

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa mahaba niue na kushirikishwa katika wimbo wa Man Isa kichwa wa kidonda changu Leo ametuletea Wimbo mpya unaitwa NITULIE By Simpho Star Umerekodiwa katika studio za Dark city Ifakara

Bonyeza play Kusikiliza na Kudownload

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment