www.kenethngamoga.blogspot.com

Klabu imevunja mkataba na staa wa Cameroon baada ya kugundua kuwa ana HIV

Moja kati ya habari zinazo-trend kwa siku ya leo August 29 2016 katika soka ni hii ya klabu Al Ittihad Alexandria ya Misri kutangaza kuvunja mkataba na nyota wa kimataifa wa Cameroon Samuel Nlend kutokana na kugundua kuwa nyota huyo ana HIV.
Moja kati ya habari zinazo-trend kwa siku ya leo August 29 2016 katika soka ni hii ya klabu Al Ittihad Alexandria ya Misri kutangaza kuvunja mkataba na nyota wa kimataifa wa Cameroon Samuel Nlend kutokana na kugundua kuwa nyota huyo ana HIV.
Al Ittihad Alexandria imevunja mkataba na Samuel Nlend mwenye umri wa miaka 21 kutokana na kupimwa kwa nyota huyo na kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi, maamuzi hayo yamekuja ikiwa ni siku nne zimepita toka nyota huyo asaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu hiyo.
Samuel-Nlend
Samuel Nlend
Samuel August 24 2016 alisaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea klabu ya Al Ittihad AlexandriaSamuel amewahi kuichezea timu ya taifa ya Cameroon mechi tano, hata hivyo hakuna sheria yoyote itakayomzuia staa huyo kupata kibali cha kucheza soka katika nyingine licha ya kugundulika kuwa na virusi vya ukimwi
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment