Msanii wa Bongofleva Diamond Platnumzambaye ni muda mrefu umepita toka athibitishe kufanya collabo na wasanii mapacha wanaounda kundi la P Square, Peter &Paul leo July 12 ameamua kuachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki, video mpya Diamond ft P Square inaitwa ‘Kidogo’
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba +255655632798
0 comments:
Post a Comment