www.kenethngamoga.blogspot.com

PICHA & VIDEO: Binti aliyejifungua akiwa na umri wa miaka 5

Mtu wangu huwenda haijawahi kukufikia juu ya maajabu haya, katika pitapita zangu nikakutana na hili ambalo leo July 28 2016 nakusogezea kama throwback mtu wangu, binti Lina Medina ni raia wa nchini Peru aliyetajwa kuwa binti alieshika ujauzito katika umri mdogo kuliko wote duniani akiwa na umri wa miaka 5.

Wazazi wa binti huyu walijua binti yao ana matatizo mengine ya kiafya, katika kufanyiwa utafiti alikutwa ana ujauzito wenye zaidi ya miezi saba na haikuwa kujulikana baba wa ujauzito huo.
Binti  Lina aliishi mpaka miaka 40 alifariki dunia na kuacha mtoto wake wa kiume akiwa na miaka na miaka 35.
download (1)
download (2)

linana
kulia lina akiwa na miaka 40 na mtoto wake kushoto akiwa na umri wa miaka 35

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment