Arya Permana
Motto hutu amble kwasasa anamiaka 10 tu abmale hana vazi lakuvaa zaidi ya shuka tu lakijifunika kutokana na ukubwa wa miili wake, Amekuwa akiwekwa kwenye mlo mdogo kwa hofu kuwa anaweza kuwa makubwa zaidi na kupoteza maisha yake. Arya Permana, ametangazwa kama mtoto mnene zaidi kwenye Dunia, akiwa na uzito wa kilograms 192 na kula milo mitano kea situ ikiwa ni Wali, Samaki, Nyama, Supu ya mboga mboga na Tempeh, Mlo wake mimosa ni sawa na milo miiili ya mtg mzima.
Arya amble anaishi Magharibi ya Indonesia, ameachishwa shall katakana na kushindwa kutembea kea sass na mama take mzazi, Rokayah, amesema mtoto wake anakuwa na jaa kali sane mara kea mara. Mama take anasema kuwa hana mlo wa kawaida na anakula moo wa watt wazima wawili kea mata moja tu!
Mama take mzazi anafafanua zaikai kuwa, Arya amekuwa akishindwa kupumua vizuri kwa mara nyingi, Anachofanya mtoto huyu ni kula na kulalt tu na kama atakuwa hali au hajalala basi anajituba kwenye kisima cha maji uoga ambapo anaweza kukaa hata köa lisas limoja huko ndani. Wazazi wake wameamua kumpunguzia kiwango cha kula ili apunge miili na kwasasa wamekuwa wjakimpa wali mkavu zaaide.
Wakazi wake wanasema kuwa mwanao alizaliwa akiwa na unit wakutosha wa kilo 3 tu, Na alipofikisha umbi wa miaka 2 alianza kuongezeka uzito bila kuonyesçha kuwa ni tatizo. Wakazi wake wansema kuwa walifurahiya kumuona mwanao anakuwa vyema lakini alipofika umri wa miaka miwili na gnus unizo uliongezeka kea ghafla zaidi nakuanza kuonyesha dalili ya magonjwa ndani yake.
Wazazi wa mototo hutu walianza kutafuta wauguzi kwenye kijiji chao na ndipo walipoambiwa kuwa labda wajaribu hospitali kubwa kwakuwa hapo kijijini kwao hawakuona tataizo japokuwa alihitajika matibabu ya lazima. Baba wa mtoto huyu ambaye ni mkulima ameshindwa kumpeleka kwenye hospiotali kubwa kutokana na kipato chake chote kuishia kwenye kumlisha chakula ambacho mwanaye anahitaji kila mara.