www.kenethngamoga.blogspot.com

Shetta aoga matusi baada ya kutupia picha akidendeka na 'Mama Qayllah'

Mwanamuziki ambaye anatikisa na ngoma ya Shiko roboShetta, amejikuta kwenye hali ya kumwagiwa matusi baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akimnyonya mwanamke huyu denda na kuandika "My lovely wife....!! #MamaQayllah"

Account hiyo ya Shetta haina picha yoyote kwa sasa mbali na picha hiyo ambayo ndiyo ameipost dakika kadhaa zilizo pita.

Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
@kenedyjohn31 Usenge m2pu Islamic gani wewe usie na haya boya wewe
@kenedyjohn31 Nay hajakosea hata kdogo
@pacha_wa_mama_yangu Kaz ipo kule shoga yangu mi ngachokaa @manzyleah_17
@officialkibadeus Jieshim @officialshetta
@chalzbwax Amna kitu @salmakisoma
@lucy_de_jose Oky ,,days cute,c kasema mkewe jamn,,,,,
@iddmejaji Heshima gani ss hio ama kweli ukiwa mshamba unakuwa mshamba wa kila kitu duh pole ni utoto ukikua utaacha...
@jesejohn Upumbavu mtupu
@johnn_mwangi Kuna wasanii wadanada ila sheta kazidi#shika adabu yako..
@hazeemabdulazizi Kweli sio maadili ya watanzania ivyo mbona unataka kujishusha thamani
@amyrashaeyz wamerudiana

Hizo ni baadhi ya comment ambazo nimeona nikuwekee kutoka kwenye post hiyo aliyo iweka. Wewe kwa mtazamo wako, Unadhani Shetta amefanya sawa kutupia picha hiyo
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment