
GENERAL NEWS
Picha 12: Bunge limebana matumizi limeokoa hizi bilioni ambazo zimerudishwa kwa watanzania

April 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, John Pombe Magufuliamepokea taarifa ya taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ‘Takukuru’ na hundi ya shilingi bilioni sita zilizotolewa na Ofisi ya Bunge baada kutekeleza kwa vitendo kauli ya kubana matumizi yasio na Tija ili fedha hizo zikanunulie madawati kwa ajili ya wanafunzi.

Rais Maguli akipokea taarifa ya mwaka ya Takukuru kutoka kwa Mkurugenzi Kamishna Valentino Mlowola

Rais Magufuli na Naibu Spika Tulia Ackson

.

.

0 comments:
Post a Comment