Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii
kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, pich

Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe wake akiwa ni Kala Jeremih ambaye pia ni msanii wa bongofleva.

Kwenye picha ya pamoja na Mama

Kala Jeremih na Roma




Roma na Nancy ambaye ni mama wa mtoto wake aitwae Ivan (picha zimetoka kwa @KalaJeremiah Instagram
0 comments:
Post a Comment